Soma maandishi zilizo andikwa kwa barcodes au jenga QR-codes za ku patiana addresses, contacti, ama maandishi kati kati za divisi.

Upekuzi wa vitabu, bidhaa na wa kiintaneti unaelekezwa kwenye seva ya Google (kulingana na nchi ambayo upekuzi unafanywa), kupitia kitufe cha kutafuta kinachotenegenezwa kwa mipangilio kwa mfano duckduckgo.com/?q=%s ama wikibooks.org/w/index.php?search=%s.

Kama chombo chako hakikagui, kwanza jaribu mbadala kwenye hitilafu za kifaa kwa mipangilio. Wezesha yote, kisha jaribu kuondolea uwezo moja kwa moja ili kujua ni gani inahitajika. Kama hii haisaidii, jaribu kufuta akiba ya kifaa na mipangilio kutoka kwa mipangilio ya Android.

Kama njia zote zimeshindikana na unaamini shida ni apu, tuma ujumbe kwa developa na maelezo yanayo fuata. Ujumbe bila maelezo hayata angaliwa, maanisha yata puuzwa.

- Aina ya kifaa
- Maelezo ya msingi ya nini haifanyi kazi: kuacha kufanya kazi? haiwezi chungua? inaonekana ajabu?
- Je, unakubali kwamba ulijaribu hatua zilizo hapo juu kwanza
- Rekodi ya kumbukumbu ya kifaa ilipoanza
