Fikia safu ya amri ya Linux iliyojengwa ndani ya Android.

Tafsiri mpya ya apu ya "Android Terminal Emulator". Programu ile ile , jina jipya.

Vipengele vya juu kupita zote

+Uigaji kamili wa terminal ya Linux.
+ Madirisha mengi ya kivinjari.
+ Makato mafupi ya uzinduzi.
+ Maandishi ya UTF-8. (Kiarabu, Kichina, Kigiriki, Kiebrania, Kijapani, Kikorea, Kirusi, Kithai, n.k.)
+ Bure kabisa. Hakuna matangazo ya biashara, ununuzi wa ndani ya apu wala skrini za kuhimiza mtumiaji kununua toleo kamili. Hakuna chochote.

Maswali ya kila mara kwa haraka:

Kama unapata shida kuingiza maandishi, jaribu kusakinisha "Hacker's Keyboard IME" ya bure. (Haswa kama una kifaa cha Samsung ama HTC.)
+ Apu hii sio uigaji wa mchezo.
+ Apu hii haitakusaidia kupata kidhibiti am ufikivu wa simu yako kutoka kwenye mzizi, au kubadilisha IMEI ya simu yako.
+ Unahitaji kujua (ama kuwa tayari kujifunza) jinsi ya kutumia mstari wa amri wa Linux ili kutumia apu hii.
+ Unawezataka kusakinisha seti ya huduma za mstari wa amri kama vile "Busy Box" au "Debian chroot" ili uongeze amri kuzidi amri zijazo kama zimejengwa ndani ya kifaa chako cha Android.
+ Ukipata kosa la -505 unapojaribu kusakinisha apu hii chini ya Android 5.0, inamaanisha kuwa kuna apu nyingine ambayo inatumia ruhusu sawa. Itakubidi usakinushe hiyo apu nyingine ili uweze kusakinisha Uigaji wa Android kwenye Terminal. (Watu huniambia kuwa "jrummy's Toolbox Pro" ndio husababisha shida hii.)

Ungependa kujua mengi kuhusu Kiigaji cha Kituo cha Android?

Jiunge na kikundi cha G+:#Android Terminal Emulator

https://plus.google.com/u/0/communities/106164413936367578283

Au pitia nyaraka ya wiki:

http://github.com/jackpal/Android-Terminal-Emulator/wiki

Unataka kuongeza au kuboresha tafsiri ya Terminal Emulator for Android? Tazama https://github.com/jackpal/Android-Terminal-Emulator/wiki/Translating-to-Other-Languages for instructions.
