— Kipengele kipya: Kitufe cha kitendo cha haraka
— Kuitikia haraka skrini inapoguswa
- Fonti mpya za ramani zinazojumuisha lugha zaidi
— Inatumia TTS kwa anuwai za lugha za kieneo
— Maboresho ya mwonekano katika mitindo kadhaa ya ramani na wikipedia
— Inakubali itifaki ya Open Location Code (OLC)
— Onyesha mwinuko na mwinamo ya GPX iliyorekodiwa (pia kasi) na njia iliyokokotwa
 — Mipangilio ya "Mtindo wa kuendesha gari" na uboreshaji wa kimantiki katika uelekezaji wa baiskeli
- Mipangilio ya kutumia data ya mwinuko katika uelekezaji wa baiskeli
