Kumbuka: F-Droid inahitaji upendeleo wa mizizi ili kusakinisha Kiendelezi cha Upendeleo kama mfumo wa "priv-app".

https://f-droid.org/packages/org.fdroid.fdroid inaweza kutumia haki za mfumo au ruhusa kusakinisha, kusasisha na kuondoa programu kivyake. Njia pekee ya kupata mapendeleo hayo ni kuwa programu ya mfumo.

Hapa ndipo Ugani wa Upendeleo unapoingilia- kwa sababu ni programu tofauti ambayo ni ndogo zaidi, inawezasakinishwa kama programu ya mfumo na iwasiliane na programu kuu kupitia AIDL IPC.

Hii iko na faida kadhaa:

* Matumizi pungufu ya diski katika kizigeu cha mfumo
* Sasisho za mfumo haziondoi F-Droid
* Njia ya kusakinisha kwenye mfumo kupitia mzizi ndio salama zaidi

Hii imefungwa kama faili ya sasisho la ZIP kwa mbinu ya OTA (Over-The-Air). Ni lazima isakinishwe kutumia TWRP au urejeshaji mwingine wa Android ambao unawezaonyesha masasisho kwenye mfumo kutoka folda ya /data/data/org.fdroid.fdroid iliyo katika kitenga cha /data. Hii APK inayosimama pekee yake inaitwa katika https://f-droid.org/packages/org.fdroid.fdroid.privileged, na hiyo inatoa masasisho baada ya hii furushi la OTA kusakinishwa.
