- Maboresho makubwa kwenye kiolesura cha mtumiaji cha orodha za kusoma
- Makala mengi ya orodha za kusoma sasa yanawezachaguliwa mara moja
- Makala binafsi ya orodha za kusoma sasa yanawezageuzwa kwenye/nje ya mtandao.
- Picha sasa zimewekwa kwa upatikanaji wa nje ya mtandao
- Kadi ya malisho bila mpangilio sasa inavuta makala bila mpangilio kutoka kwenye orodha ya masomo ya mtumiaji akiwa nje ya mtandao
- Marekebisho mengi mengine ya hitilafu pamoja na masasisho ya kiolesura cha mtumiaji
